Kukalimali, Kufafanua na kutafsiri  lugha za Afrika pamoja na lugha zingine.

Tangu kujitokeza kwa Covid- 19, haja ya huduma ya kukalimali, kufafanua na ya kutafsiri inazidi kuhitajika.

Akula Ukalimali,Ufafanuzi na Utafsiri Ltd ina nia ya kujibu kwa ombi hili.

Akula Ukalimali,Ufafanuzi na Utafsiri Ltd imeundwa kwa ajil ya kusaidia watoa huduma pamoja na vyombo vya serkali na watu wenye shida ya lugha ili kufikia huduma za lugha.

Katika kuwasili kwangu kama muhamiaji nchini Marekani, nilipaswa kufanya njia yangu kupitia njia za siri ya mfumo wa Marekani. Nilipokea karibu kila siku barua na fomu za kujaza, mahitaji ya kupiga simu, mikutano ya ku heshimu, na kazalika. Yote haya yahitaji huduma za lugha.

Kwa habari zaidi kuanza na kufurahia wafanyakazi wetu wenye ujuzi, wasiliana nasi!