Nilizaliwa huko Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo au Democratic Republic of Congo (DRC), nchi ipatikanayo barani Afrika ya kati na yenyi watu zaidi ya milioni 80 ambao wanazungumza takriban lugha 300.
Nilikua katika mfumo unaofaa kwa ujuzi wa lugha kadhaa. Majifunzo haya yaliraisishwa na mfumo wa elimu, ushirikiano/mwingiliano wa familia na kijamii. Nilijifunza lugha nne nikiwa mdogo sana: Kifaransa, Lingala, Kiswahili na Ciluba na baadaye nilijifunza ya tano, Kiingereza.
Katika Akula Ukalimali,Ufafanuzi na Utafsiri Ltd, lengo letu ni kufanya sauti ya kila mmoja isikilike na hii inawawezesha wale wanaohitaji huduma zetu.
Huduma zetu:
Ufafanuzi/Ukalimali kwa umbalali
Pamoja na mabadiliko haya katika ulimwengu wetu na katika maisha yetu ya kila siku katika Covid- 19, maombi ya huduma kwa umbali yanaongezeka sana. Janga hili lilibadilisha utaratibu wetu kwa ghafla, na kutusukuma/kutulazimisha kuzoweya kwa kuomba mara nyingi huduma kwa umbali.
Tafsiri mfululizo (mtiririko)
Ukalimani mfululizo unaonyesha kwamba mkalimani anamsikiliza kwanza mzungumzaji na kisha huzaa kifungu au sehemu ya hotuba katika kila mfuatano kwa lugha lengwa kwa wasikilizaji.
Kufanana kwa wakati huo huo
Mtafsiri katika wakati huo huo anasikiliza kile msemaji anasema wakati wa kutafsiri maneno yake kuhusu lugha nyingine kwa wakati halisi.
Tafsiri
Kitu cha kutafsiri kwa Kiingereza? Tunafanya hivyo! Kwa huduma zetu za Kiingereza au Kifaransa kwa Kiswahili, Lingala au Ciluba (kinyume chake), hebu tujulisheni mahitaji yenu. Kwa bei ya kawaida inayotumiwa katika sekta hiyo, huduma yetu itafanywa vizuri na haraka.
Kusoma tena
Je, unatafsiri Kiingereza kwa Kifaransa, Kiswahili, Lingala au Ciluba, lakini unahitaji kuwa na wasiwasi au taarifa? Tunasema, soma na kuandika lugha hizi na ujuzi wa lugha ya asili.